Msaada wa kisheria kuhusu muda wa mtuhumiwa kukaa polisi kabla ya kupelekwa mahakamani

Msaada wa kisheria kuhusu muda wa mtuhumiwa kukaa polisi kabla ya kupelekwa mahakamani

kekuwetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
327
Reaction score
99
Nina ndugu yangu amekamatwa na polisi kituo cha central arusha. Sasa ni wiki ya 3 hawajampeleka mahakamani. Naomba kwa anaye jua sheria ni muda gani mtuhumiwa anapaswa kukaa kituoni kwani polisi wametuzuia hata kumuona huku wakitupa vitisho.
 
Kwann wamewazuia kumuona ndg yenu wkt huo sio utaratibu?Wik 3 ni nyingi sna kwa mtuhumiwa kuwa mahabusu bila kufunguliwa mastaka.Nina wasiwasi huenda wamemtesa ndo maana hawataki muonane nae.Hapo Central napafahamu vzr kwa unyanyasaji na kutesa watuhumiwa ili kuwalazimisha kutoa ushaidi hata kama ni wa uongo.
Nakushauri onana na OCD umuelezee huenda hata hafahamu kinachoendelea
 
Ingia jukwaa la sheria kuna post inasema ijue haki yako unapokamatwa na polisi.
 
Kwann wamewazuia kumuona ndg yenu wkt huo sio utaratibu?Wik 3 ni nyingi sna kwa mtuhumiwa kuwa mahabusu bila kufunguliwa mastaka.Nina wasiwasi huenda wamemtesa ndo maana hawataki muonane nae.Hapo Central napafahamu vzr kwa unyanyasaji na kutesa watuhumiwa ili kuwalazimisha kutoa ushaidi hata kama ni wa uongo.
Nakushauri onana na OCD umuelezee huenda hata hafahamu kinachoendelea

Sawa nakushukuru, ila ni rahisi kumuona OCD? Mapolisi wanajibu kwa dharau sana, kila siku wanatupiana mpira kuhusu mpelelezi wa hiyo kesi.
 
Watuhumiwa kwa makosa gani? General rule ni 24 hours!
 
Watuhumiwa kwa makosa gani? General rule ni 24 hours!

Wanasema amemshambulia mtu na mgonjwa yupo hospital. Ingawa yeye mwenyewe anasema hamfahamu hata huyo mtu wala hajawai kufika hilo eneo la tukio. Polisi hawataki kutukutanisha na huyo mgonjwa ni kama mgonjwa hewa. Sasa hawataki kuipeleka kesi mahakamani wanasema bado wanapeleleza
 
ni 24 hours na km ajapelekwa inabidi andike ombi kwa police apelekwe mahakaman na km wakikataaa tafuten mwanasheria apew barua ya maomb ya kufunguliwa kesi mahakaman ikiwa imeambatanishwa na chamber summos supported by affidavity.
maan huyo anahak hat ukisom under section 64 ya criminal procedure act bt kwa mm ningekuomb som hy section 64 mpka 69 ya criminal procedure act utaelew maan inazungumzia kuhusu police bail
 
Ndugu mleta mada humu unaweza usipate ushauri wakutosha kuhusu issue manake wanasheria hawafunguki sana humu....chakufanya nenda kwenye Ofisi ya wanasheria nadhani Ada yakumuona wakili na ushauri haifiki elf 50 utasaidika sana lkn humu sidhani
 
Back
Top Bottom