Ahsante mkuu. NimeionaKuhusu swali lako la pili ni kuwa sheriA ipo angalia SHERIA YA MAKOSA YA JINAI (Penal Code) kifungu cha 158 (1) inaelezea kiundan swala hilo na pia kama tabia hiyo kama iloanza akiwa chini ya miaka 18 hata swala la ubakaji pia linaweza kumkabili huyo mkaka hii ni kutokana na kifungu cha 130 (2) (e) inakataza mapenz na msichana mwenye umri chini ya miaka 18