Msaada wa kisheria kuhusu suala la mkataba

Msaada wa kisheria kuhusu suala la mkataba

Twalangete

Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
9
Reaction score
3
Naomba msaada wa kisheria, kati ya mkataba wa ajira na personal data form ipi ina nguvu kisheria katika haki za mfanyakazi?
 
Huhitaji msaada jibu liko wazi kwamba mkataba wa kazi ndiyo dhamana yako kisheria
 
Back
Top Bottom