T Twalangete Member Joined Nov 29, 2019 Posts 9 Reaction score 3 Dec 6, 2019 #1 Naomba msaada wa kisheria, kati ya mkataba wa ajira na personal data form ipi ina nguvu kisheria katika haki za mfanyakazi?
Naomba msaada wa kisheria, kati ya mkataba wa ajira na personal data form ipi ina nguvu kisheria katika haki za mfanyakazi?
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,403 Reaction score 12,775 Dec 6, 2019 #3 Huhitaji msaada jibu liko wazi kwamba mkataba wa kazi ndiyo dhamana yako kisheria