Msaada wa kisheria kuhusu ujira wangu

Msaada wa kisheria kuhusu ujira wangu

MSOLOPAA

Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
82
Reaction score
107
Habarini wapendwa
Mimi ni mfanyakazi wa mkataba katika shirika moja la umma,na kwa sasa nafanya nao kazi katika mkoa wa Tanga
Msaada naoumba kwenu ni kwamba nilipewa mkataba mwaka mmoja ambao uliisha 15/11/2017 lakini cha kushangaza ni kwamba mpaka sasa sijapewa mkataba mwingine nisaini japo naendelea na kazi na mshahara wananilipa??
Na je kama huyu mwajiri akiniletea mkata wakati nimeshafanya zaidi ya miezi sita nifanyeje????
 
Minaona wewe ndie umevunja sheria kwa kukubali kwa hiyari kufanya kazi pasipo kuwa na mkataba wa ajira
 
Back
Top Bottom