C Chaka Member Joined Nov 13, 2008 Posts 36 Reaction score 6 Aug 21, 2012 #1 Habari wana jf, naomba kuuliza hivi inawezekana kwa mtanzania kumiliki hisa katika masoko ya hisa nje ya mipaka yake? tuanzie hapo halafu nitauliza zaidi
Habari wana jf, naomba kuuliza hivi inawezekana kwa mtanzania kumiliki hisa katika masoko ya hisa nje ya mipaka yake? tuanzie hapo halafu nitauliza zaidi