Msaada wa kisheria kuhusu umiliki wa hisa nje ya nchi

Chaka

Member
Joined
Nov 13, 2008
Posts
36
Reaction score
6
Habari wana jf,

naomba kuuliza hivi inawezekana kwa mtanzania kumiliki hisa katika masoko ya hisa nje ya mipaka yake? tuanzie hapo halafu nitauliza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…