Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 828 Feb 21, 2017 #1 Wanachama wa JF, Naomba kwa anaejua kuhusu hili jambo, kuna mmama yuko vicoba na Mwenyekiti wa hicho kikundi amekataa wasipige mahesabu, wala kuwapa vitabu vyao na wanataka ushauri wa kisheria wafanyeje?
Wanachama wa JF, Naomba kwa anaejua kuhusu hili jambo, kuna mmama yuko vicoba na Mwenyekiti wa hicho kikundi amekataa wasipige mahesabu, wala kuwapa vitabu vyao na wanataka ushauri wa kisheria wafanyeje?