kwanini mkuu unasema nisamehe. nisamehe mil 10? ingekuwa wewe ungesamehe kwa hali ilivyo sasaHapo mtihani.
USHAURI WANGU, "SAMEHE TU"
Achana na makesi ni kupoteza Muda na kufaidisha makalani, hakimu na Wana Sheria.
hii hukumu ilioandikwa kwa mkono nilimaanisha wanitolee kopi tu mkuu. haiwezekani niitumieMkuu, Hukumu lazima ichapwe.
Ile iliyoandikwa na mkono na hakimu inabaki kwenye jalada la kesi husika. Wamekucheleweshea hukumu na muenendo wa case makusudi ili kutengeneza mazingira ya kuomba Rushwa...
Hukumu haipaswi kutolewa copy inatakiwa ichapwe kisheria na isainiwe.hii hukumu ilioandikwa kwa mkono nilimaanisha wanitolee kopi tu mkuu. haiwezekani niitumie
Nimeomba kwa maandishi mkuu, tena siku ile ile hukumu ilipotoka.Usiombe nakala ya hukumu kwa mdomo, omba kwa maandishi ili hata wakikuchelewesha watakuandikia certificate of delay...
Basi siku watakayokupatia kama walichelewesha rai certificate of delay na wakati unasubiria waone hao watu niliokwambia hasa idara ya utumishi pia usisahau kuomba na proceeding ni muhimu sananimeomba kwa maandishi mkuu, tena siku ile ile hukumu ilipotoka.
ofisi za utumishi hazipo mkuu mahakama za mwanzo.Basi siku watakayokupatia kama walichelewesha rai certificate of delay na wakati unasubiria waone hao watu niliokwambia hasa idara ya utumishi pia usisahau kuomba na proceeding ni muhimu sana
Kuna idara ya utumishi kila mahakana kuna bango lina namba za takukuru na idara ya utumishiofisi za utumishi hazipo mkuu mahakama za mwanzo.
Idara ya utumishi ya mahakamaofisi za utumishi hazipo mkuu mahakama za mwanzo.
hamna mtihani hapo ye aandike barua ya kudai hukumu yake na awakabidhi kwa DISPATCHHapo mtihani.
USHAURI WANGU, "SAMEHE TU"
Achana na makesi ni kupoteza Muda na kufaidisha makalani, hakimu na Wana Sheria.
USIOGOPE MKUU HATA WAKIKUPA MWAKANI SIKU 45 ZINAHESABIKA TOKEA UNAPOKEA HUKUMU YAKO SIO SIKU ILIPOSOMWA.=Nilikuwa na kesi mahakama ya mwanzo. Hukumu imetoka haikuwa upande wangu. nina uhakika asilimia zote mdai wangu ametoa rushwa.sasa nimeomba hukumu pamoja na mwenendo wa kesi ili nikate rufaa lakini wananizungusha wiki ya 3 sasa. wiki iliopita karani aliniita na kuniomba rushwa live ili achapishe hukumu. nifanye nini wakuu maana nimebakisha wiki tu ya kukata rufaa. Je naweza kukata rufaa kabla ya hukumu kwa njia ya maandishi haijatoka? je naweza omba hukumu iliondikwa kwa mkono tu na kukata rufaa?
unazungumzia hili mkuu?Kuna idara ya utumishi kila mahakana kuna bango lina namba za takukuru na idara ya utumishi
kesi ya madai mkuu. nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni flani, tulikubaliana kwa maandishi kuwa nisome masters nikimaliza watanirudishia gharama zote nilizozitumia.Kesi ilihusu nini na rufaa yako unasimamia kwenye hoja zipi ili tukushauri vizur
Unazo evidence kwamba ulilipia hivyo? Barua ya admission ilieleza gharama hizo?kesi ya madai mkuu. nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni flani, tulikubaliana kwa maandishi kuwa nisome masters nikimaliza watanirudishia gharama zote nilizozitumia. Baada ya kumaliza wakanilipa gharama za ada tu niliolipa, ila gharama zingine kama, accomodation, stationery, books, meals, research etc wamekataa kunilipa. wanadai kuwa hizo gharama zingine sipaswi kulipwa sababu nilikuwa napata mshahara, kumbuka mkataba haujasema hivyo
Ndiyo hiyohiyo mimi wameshanisaidia baada ya kuzungushwa na makarani na nilikuwa simjui mtu yoyoteunazungumzia hili mkuu?View attachment 1751741