Msaada wa kisheria kukata rufaa

Unazo evidence kwamba ulilipia hivyo? Barua ya admission ilieleza gharama hizo?
mkuu kama umesoma lazima utakuwa unajuwa barua ya admission pamoja na fees structure ionyeshe. fee structure kawaida inaonyesha fees payable to university na fees payable direct to student
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…