Msaada wa kisheria kwa kutoridhishwa na udahili wa wanafunzi na bodi ya mikopo-elimu

Msaada wa kisheria kwa kutoridhishwa na udahili wa wanafunzi na bodi ya mikopo-elimu

BONANJE

Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
34
Reaction score
3
Wakuu naomba nipate msaada wa kisheria inapotokea mtu kakaosa chuo wakati anasoifa na hapewi mkopo wakati anavigezo vyote vya kupata mkopo?Wakati nimetumia gharama nyingi kufanya maombi hayo na kupoteza muda mwingi sana.Niliomba chuo kupitia Tcu,wengine sifa zinafanana wamepata.Nisaidieni jamani.
 
Back
Top Bottom