Msaada wa kisheria kwa upimaji wa shamba langu bila kushirikishwa

isakwisa og

Member
Joined
Oct 4, 2020
Posts
31
Reaction score
19
Habari ndugu zangu!kutokana na makao makuu ya jiji la Dodoma kuendelea kuendelezwa na serikali ya awamu ya tano kwa kuhakikisha maeneo yote yaliyopo ndani ya jiji la Dodoma yanatambulika na kupimwa,Upimaji ulipita katika shamba langu bila taarifa wala maelezo yoyote na kikubwa zaidi ni kuwa shamba hilo tayari lilikuwa limeendelezwa kwa kupandwa miti na kujengwa nyumba ila wao wakaingia kupima na kuweka alama zao. Hiyo kisheria imekaaje wakuu?
 
Wameweka bicon? Au alama gani?
 
Acha kupinga maendeleo wewe!
 
Fuatilia waliopima ni wakina nani, kisha ujue walifuata taratibu gani kupima.
 
Nilifuatilia niliambiwa ni kampuni x iliyopewa tenda na jiji then ilipo maliza kupima wakakabidhi kwa jiji
 
Back
Top Bottom