isakwisa og
Member
- Oct 4, 2020
- 31
- 19
Habari ndugu zangu!kutokana na makao makuu ya jiji la Dodoma kuendelea kuendelezwa na serikali ya awamu ya tano kwa kuhakikisha maeneo yote yaliyopo ndani ya jiji la Dodoma yanatambulika na kupimwa,Upimaji ulipita katika shamba langu bila taarifa wala maelezo yoyote na kikubwa zaidi ni kuwa shamba hilo tayari lilikuwa limeendelezwa kwa kupandwa miti na kujengwa nyumba ila wao wakaingia kupima na kuweka alama zao. Hiyo kisheria imekaaje wakuu?
Acha kupinga maendeleo wewe!Habari ndugu zangu!kutokana na makao makuu ya jiji la Dodoma kuendelea kuendelezwa na serikali ya awamu ya tano kwa kuhakikisha maeneo yote yaliyopo ndani ya jiji la Dodoma yanatambulika na kupimwa,Upimaji ulipita katika shamba langu bila taarifa wala maelezo yoyote na kikubwa zaidi ni kuwa shamba hilo tayari lilikuwa limeendelezwa kwa kupandwa miti na kujengwa nyumba ila wao wakaingia kupima na kuweka alama zao. Hiyo kisheria imekaaje wakuu?
Sijakuelewa kupinga maendeleo kivipi?Acha kupinga maendeleo wewe!
Nilifuatilia niliambiwa ni kampuni x iliyopewa tenda na jiji then ilipo maliza kupima wakakabidhi kwa jijiFuatilia waliopima ni wakina nani, kisha ujue walifuata taratibu gani kupima.