Akate rufaa kwakupitia hukumu ya pili ambayo Naye ameshiriki. Mahakama zina levo nyingi kwahiyo akate rufaa na aseme anataka Nini na hajaridhika na Nini.Wakuu kuna mwanamke anahitaji msaada wa kisheria juu ya masuala ya talaka, je ni taasisi gan ya kisheria inayotoa msaada wa kisheria kwa wanawake ambayo ipo effective. Kimsingi mume kavunja ndoa mahakamani bila mke kua na taarifa kama mume kafungua kesi ya talaka, kesi imesikilizwa upande mmoja na hukumu kutolewa mke kashangaa tu anapelekewa hukumu ya mahakama. Alipojaribu kuomba kesi isikilizwe upya ikarudishwa kwa hakimu yule yule na hukumu ikatoka ile ile. Mke anaona hajatendewa haki na hajui pa kuanzia hivyo anahitaji msaada wa kisheria
Shukran mkuuAkate rufaa kwakupitia hukumu ya pili ambayo Naye ameshiriki. Mahakama zina levo nyingi kwahiyo akate rufaa na aseme anataka Nini na hajaridhika na Nini.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Taasisi huwa zinahusishwa iwapo mtu katelekezwa, kazurumiwa Mali au mjane lakini Kwa taraka ni Bora kusema hajaridhika na maamuzi kwamba hataki waachane au Mali hajapata? Nijibu hili kwanzaShukran mkuu
Sasa mtu hakutaki wewe unang'ang'ania Nini? Kuchinjwa? Mwambie akaanze na kirago atainuka tena
HakikaWanawake wagumu sana kuachika kwa mume mwenye status ama Mali za kutosha.
Ingekuwa mume wake ni wenzangu na mimi angefurahia talaka sana ili awe huru.