Habari wana Jf
Naomba kusaidiwa kisheria.
Niliachana na mke wangu miaka miwili iliyopita, baada ya talaka aliamua kwenda mahamakani kudai mgawanyo wa mali za pamoja, na matunzo ya watoto.
Mahakama ikatoa hukumu ambayo binafsi sikuridhika nayo hivyo nikaamua kukata rufaa katika mahakama ya wilaya.
Mahakama ya wilaya pia sikuridhika na maamuzi ya rufaa hivyo nikakata rufaa mahakama ya kuu.
Sasa tangu nilivyoanza kukata rufaa ame amenizuia kuona watoto, wala hataki niwahudumie kwa lolote na mbaya zaidi anawapandikiza chuki watoto dhidi yangu. Sina cha kufanya kwani mahakama ilitoa uamuzi watoto akae nao na mimi nitoe matumizi ya kila mwezi lkn ndio hivyo ananipiga vita.
Je ni hatua gani za kisheria nichukue ili nipate access na watoto wakati huu rufaa inaendelea kwani nimewamiss wanangu na kesi inachukua muda kuisha