Unachotakiwa kufanya ni kutoa taarifa kwa mlezi wa wanafunzi (dean of students) kabla ya kufanya mtihani husika na utapaswa kueleza mazingira unayoona yatapelekea wewe "kukamatwa" au "kubebeshwa somo husika". Sababu zaweza kuwa nyingi labda mwl alikutongoza ukachomoa au kampenda manzi ako alafu akabaniwa akaona akuchinje wewe kutoa hasira.
Endapo utatoa malalamiko baada ya kufanya mtihani au jaribio husika itakuwa ngumu kusaidiwa kwani itadhaniwa umeona mtihani ni mgumu ukatafuta sababu.
Huo ni utaratibu wa UDSM.
Kwanini usikate tufaa usahihishiwe upya na mwl tofauti?Mwl mimi binafsi kabla ya kufanya pepa nlienda kureport kwa academic office nkaeleza mazingira yaliyopo na matamshi nayo pewa na mwalimu week moja moja kabla ya pepa second semester
Na akahahidi kulifanyia kazi
Pia nikawa nimemwomba angalie kama kuna tatizo au nimemkera basi nijuzwe manake ilikiwa hali sio nzuri kabisaa
Ila mwisho wa siku baada ya pepa katika wanafunzi zaid ya 200 tulofanya ile pepa nlisup peke yangu na pepa halikuwa gumu yaan
Somo la data base and security