Msaada wa kisheria: Mtu akikutumia message bora mwanao afe, je naweza kumshtaki mtu huyo?

Msaada wa kisheria: Mtu akikutumia message bora mwanao afe, je naweza kumshtaki mtu huyo?

Katoto kapole. Nakushauri endelea kuwa kapole. Hapo kaa mbali na huyo mtu ikiwezekana. Muepuke kabisa kwa sababu na wewe utakuwa umejiepusha na mambo mengi. Mambo ya kisheria nafikiri utazungushwa tu. Mwisho upoteze hela bila sababu.

Isitoshe unaweza usiwe hata na ushahidi wa moja kwa moja kwamba mtoto wako alimkaba. Na hiyo sms mtoto wako bora afe,ni neno “mtoto wako bora afe” si utekelezaji. MUHIMU njia ya kwanza nzuri kwako ni kukaa mbali na huyo mtu ili kujiepushia na mengine. Kama mnaishi nyumba moja jitahidi uhame haraka.
 
Tunza ujumbe huo for futere reference, ikitokea mtoto wako akapatwa na janga lenye viashiria vya hujuma, huyo jamaa atakua miongoni mwa watakaosaidia upelelezi katika hatua za mwanzo.
 
katoto kapole, Dhamira ovutu (mens rea) peke yake tu haiwezi kutumika kumtia mtu hatiani mpaka iambatane tendo ovu la huyo mtu.Ulipokuta anamkaba mtoto wako hapo ndipo ungeenda kumshtaki ila kwa meseji ya bora mtoto wako afe ni maoni tu yasiyokuwa na uzito wa kumtia mtu hatiani.
 
Kwa nini mpaka itokee?Nenda kwenye vyombo vya usalama katoe taarifa.
Tunza ujumbe huo for futere reference, ikitokea mtoto wako akapatwa na janga lenye viashiria vya hujuma, huyo jamaa atakua miongoni mwa watakaosaidia upelelezi katika hatua za mwanzo.
 
Katoto kapole. Nakushauri endelea kuwa kapole. Hapo kaa mbali na huyo mtu ikiwezekana. Muepuke kabisa ksbb na wewe utakuwa umejiepusha na mambo mengi. Mambo ya kisheria nafikiri utazungushwa tu. Mwisho upoteze hela bila sababu. Isitoshe unaweza usiwe hata na ushahidi wa moja kwa moja kwamba mtoto wako alimkaba. Na hiyo sms mtoto wako bora afe,ni neno “mtoto wako bora afe” si utekelezaji. MUHIMU njia ya kwanza nzuri kwako ni kukaa mbali na huyo mtu ili kujiepushia na mengine. Kama mnaishi nyumba moja,jitahidi uhame haraka
Huyu kapole ameolewa akiwa na mtoto sasa njemba haimpendi Huyo mtoto inaona bora afe inaamua kumminya tumbo na kumkaba
 
Huyu kapole ameolewa akiwa na mtoto sasa njemba haimpendi Huyo mtoto inaona bora afe inaamua kumminya tumbo na kumkaba
Ahaaa! aisee inaweza kuwa kweli mkuu. Umecheza mbali mkuu. Ndio maana huyu Kapole ana hasira na jamaa? Anatafuta njia ya kumu-arest?. Maana hakuna hasira kali zaidi ya za kwenye ndoa.
 
ulizaa na dume la nje bila shaka.... peleka mtoto kwa baba yake...
 
Back
Top Bottom