R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Mar 20, 2017 #1 Kuna ndugu yangu amestaafu. Anadai fedha zake toka kwa mwajili. Almost 3 years tangu astaafu. Amemkumbushia fedha hizo mwajili ansema hanan hela. afanyeje? Nauliza hivyo kwa kuwa time limitation inaweza kuwa tatizo la kudai haki yake.
Kuna ndugu yangu amestaafu. Anadai fedha zake toka kwa mwajili. Almost 3 years tangu astaafu. Amemkumbushia fedha hizo mwajili ansema hanan hela. afanyeje? Nauliza hivyo kwa kuwa time limitation inaweza kuwa tatizo la kudai haki yake.