Ushahidi kuwa ulimpatia nakala Attorney General lazima uoneshe kwa ushahidi kuwa ulimpa nakala ya barua ya kushitaki say shirika la serikali. Unatumika utaratibu gani kumpa nakala Attorney General ya kushitaki say shirika la serikali
Je Registerd mail inakubalika kama ushahidi kuwa you served him with a copy?
Je Registerd mail inakubalika kama ushahidi kuwa you served him with a copy?