Si ndiyo hiyo, mastery for service not for making money! au unasemaje?watu tumetumia gharama na muda mwingi sana kusoma sheria.
Futa iyos
Si ndiyo hiyo, mastery for service not for making money! au unasemaje?
kama raia mwema nikutumie GPA ambayo inatoa muongozo wa namna ya kuishtak serikaliUshahidi kuwa ulimpatia nakala Attorney General lazima uoneshe kwa ushahidi kuwa ulimpa nakala ya barua ya kushitaki say shirika la serikali. Unatumika utaratibu gani kumpa nakala Attorney General ya kushitaki say shirika la serikali
Je Registerd mail inakubalika kama ushahidi kuwa you served him with a copy?
Jibu ni NDIYO.Ushahidi kuwa ulimpatia nakala Attorney General lazima uoneshe kwa ushahidi kuwa ulimpa nakala ya barua ya kushitaki say shirika la serikali. Unatumika utaratibu gani kumpa nakala Attorney General ya kushitaki say shirika la serikali
Je Registerd mail inakubalika kama ushahidi kuwa you served him with a copy?
nisaidie basi, mbona umeingia mitini rafikikama raia mwema nikutumie GPA ambayo inatoa muongozo wa namna ya kuishtak serikali