Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Jun 15, 2017 #1 Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Mimi natafuta msaada wa kisheria namna ya kuwatupa lupango wababe wa vita, mafia, mafilimason, watemi kutoka kule kanda ya ziwa usukuman Naomba mwenye kujua sheria apate kunisaidia pakuanzia CHENGE LUGUMI
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Mimi natafuta msaada wa kisheria namna ya kuwatupa lupango wababe wa vita, mafia, mafilimason, watemi kutoka kule kanda ya ziwa usukuman Naomba mwenye kujua sheria apate kunisaidia pakuanzia CHENGE LUGUMI
kiduni JF-Expert Member Joined Jun 26, 2015 Posts 348 Reaction score 341 Jun 15, 2017 #2 Unamtaka mtemi? Kumuweza huyo inabidi uwe mtemi zaidi yake hahahah ila jamaa anatisha kweli kila scandal yumo
Unamtaka mtemi? Kumuweza huyo inabidi uwe mtemi zaidi yake hahahah ila jamaa anatisha kweli kila scandal yumo
byeyombo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 2,647 Reaction score 4,184 Jun 15, 2017 #3 Anzia na kujisajili shule ya vidudu iliyopo karibu nawe!!
Mtengwa II JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 860 Reaction score 1,421 Jun 15, 2017 #4 Hii vita wanaiweza akina Mkwawa, Kinjekitile, Bushiri, Isike, Mirambo, Mangi meli, na watu wa Tarime!!
Hii vita wanaiweza akina Mkwawa, Kinjekitile, Bushiri, Isike, Mirambo, Mangi meli, na watu wa Tarime!!
Man Thom JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 732 Reaction score 905 Jun 15, 2017 #5 Waswahili wana msemo usemao 'mjumbe hauwawi' vp kama Chenge alipewa maagizo na wenye mamlaka kutoka juu kwamba asaini hiyo mikataba..yeye atawekwa kundi gani hapo! Sheria bhana..ni mchezo mchafu!
Waswahili wana msemo usemao 'mjumbe hauwawi' vp kama Chenge alipewa maagizo na wenye mamlaka kutoka juu kwamba asaini hiyo mikataba..yeye atawekwa kundi gani hapo! Sheria bhana..ni mchezo mchafu!