Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Kwanza ana kesi nyingine ya kujibu dhidi ya mahakama, pia kiujumla kama umeshashinda kesi vile.
Utapewa summons wito wa kuja mahakamani siku nyingine, ukitegea kutofika Mara 3 kesi inafutwaKama ni mshtaka alipata dharula akashindwa kufika mahakama bila kutoa taarifa Mara moja,je kesi uwa inapelekwa mbele au inafutwa!?