Ukishaacha kazi huo mkopo wa watu umejipanga kuulipaje?? Kumbuka kuwa DED hawajibiki kulipa hilo deni.Habari wakuu, mimi ni mtumishi serikalini idara ya afya, nimeamua kuacha kazi na kujiajiri binafsi. Naomba kujua utatatibu wa kisheria nawezaje kuacha kazi na nisisumbuliwe na mwajiri wangu ambaye ni serikali? , pia nina mkopo NMB umebaki mwaka mmoja na nusu kumalizika je nifanyeje kuhusu hili maana mdhamini wangu ni DED . Nawasilisha
Ukishaacha kazi huo mkopo wa watu umejipanga kuulipaje?? Kumbuka kuwa DED hawajibiki kulipa hilo deni.
Ded ni mdhamini tu ukiacha kazi NMB hawana issue na wewe tenaHabari wakuu, mimi ni mtumishi serikalini idara ya afya, nimeamua kuacha kazi na kujiajiri binafsi. Naomba kujua utatatibu wa kisheria nawezaje kuacha kazi na nisisumbuliwe na mwajiri wangu ambaye ni serikali? , pia nina mkopo NMB umebaki mwaka mmoja na nusu kumalizika je nifanyeje kuhusu hili maana mdhamini wangu ni DED . Nawasilisha