Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Kwa nini usitumie TIN NAMBA yako? Si kwa ajoli ya biashara yako?alafu unajua Kama utakuwa mrithi?mbona bado mapema kujitafuta katika mirathi Boss,pambana bana kivyako utatoboa hiyo mirathi ikitokea huko mbele fresh,unless mhusika awe ameshafariki,na Kama amefariki basi sheria zitakuzuia kutumia majina take katika biashara mpyaWakuu Mimi binafsi ndio kwanza najitafuta na kila anayefanya kazi ana ndoto za kuwa mtu mkubwa mbeleni huko ndivyo ilivyo na kwangu.
Mimi nataka nisajili jina la biashara mbeleni kuwa hata kampuni Mungu akijalia ila nataka nitumie TIN number ya Mama yangu mimi nisimame kama mrithi.
Je, kuna vitu nitakosa kisheria kwa baadae labda mikopo na baadhi ya kuingia mikataba ikitokea?
Kwa nini usitumie TIN NAMBA yako? Si kwa ajoli ya biashara yako?alafu unajua Kama utakuwa mrithi?mbona bado mapema kujitafuta katika mirathi Boss,pambana bana kivyako utatoboa hiyo mirathi ikitokea huko mbele fresh,unless mhusika awe ameshafariki,na Kama amefariki basi sheria zitakuzuia kutumia majina take katika biashara mpya
Nenda googleWakuu Mimi binafsi ndio kwanza najitafuta na kila anayefanya kazi ana ndoto za kuwa mtu mkubwa mbeleni huko ndivyo ilivyo na kwangu.