Msaada wa kisheria: Nilipigwa na kuvutwa korodani zangu na Mapolisi

Mazingira ilikua pale getini lango kuu la kuingilia. Nilivulishwa nguo zote huku wafungwa wote wakiniangalia...kwa hali niliyokua nayo...hawakunifanyakitu chochote.Na wakati nimefika siku hiyo ijumaa...kesho yake..nilikuja kuonwa na afisa maendeleo ya jamii wilaya..then muda kidogo...akaja afisa wa usalama wa wilaya. Badae tena wakaja viongoz wa ngaz za juu za wilaya. Na ilivyofika jumatatu...nilipelekwa mahakaman kusomewa mashtaka na nikawa nje kwa dhamana...nakuendelea na matibabu. Ni Mungu tu aliniepushia kifo...i was badly beaten
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…