I izet Member Joined Aug 13, 2014 Posts 15 Reaction score 12 Nov 12, 2021 #1 Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%?
Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%?
Shoctopus JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 3,434 Reaction score 1,985 Nov 20, 2021 #2 izet said: Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%? Click to expand... hiyo ni kama tozo bila kuacha kazi, unayo! Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
izet said: Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%? Click to expand... hiyo ni kama tozo bila kuacha kazi, unayo! Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Dec 5, 2021 #3 Ulishaandika barua ya kujitoa???
I Imma mfugale Member Joined Jan 29, 2015 Posts 68 Reaction score 89 Dec 5, 2021 #4 Andika barua ya madai kwa mwajiri wako aache kukukata makato hayo pia akurudishie makato yote aliyowahi kukata. Kakuonea sana, chama chochote kile ili uwe mwanachama ni lazima uombe uanachama Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Andika barua ya madai kwa mwajiri wako aache kukukata makato hayo pia akurudishie makato yote aliyowahi kukata. Kakuonea sana, chama chochote kile ili uwe mwanachama ni lazima uombe uanachama Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Los técnicos JF-Expert Member Joined Sep 14, 2014 Posts 3,012 Reaction score 2,637 May 15, 2022 #5 izet said: Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%? Click to expand... Waone CHAKUHAWATA naamini watakusaidia sana.
izet said: Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%? Click to expand... Waone CHAKUHAWATA naamini watakusaidia sana.
maneka JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 825 Reaction score 1,182 May 15, 2022 #6 Nani yuko nyuma ya CWT? Maana inajulikana ni chama kisichokubalika na wahusika ila kinaogopwa na hata wabunge wamekaa kimya!
Nani yuko nyuma ya CWT? Maana inajulikana ni chama kisichokubalika na wahusika ila kinaogopwa na hata wabunge wamekaa kimya!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 15, 2022 #7 Natumae mleta mada ulipata muongozo...