wana JF wenzangu. habarini.
niliachishwa kazi na muajiri wangu kampuni binafsi 3yrs ago. hakuwa akiniwekea chochote NSSF japo alikuwa akinikata 10% ya mshahara wangu mda wote nikiwa ktk ajira. nimefuatilia kudai hakiyangu mpaka nauli imeisha. NSSF wanasema hawawezi kunilipa kwakuwa hakuna chochote kilichopelekwa kwao.
tafadhali naombeni ushauri ndugu zangu. nini nifanye na wapi nianzie.
Ndugu yangu pole sana. hapa kuna sheria inaweza kukubana. Time limitation might not be friendly to you. Haya mambo ya civil litigations yana time limit. Nipe muda nitakufahamisha. I am not a lawyer, but could give some hint. Muda umepita mrefu, atakuwekea preliminary objection (PO) basing on time limitation.