Msaada wa kisheria ...please

Kiluvya2011

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
215
Reaction score
31
Wakubwa heshima yenu..,

Ninafanya kazi kwa kampuni moja ya kihindi, nipo kwa probation period of three months, leo asubuhi nimetoa resignation ya 24 hours lakini mwajiri kaniambia nilipe mshahara wa mwezi mmoja je Sheria ya kazi inasemaje?

Nimejaribu kupitia sheria ya kazi ya mwaka 2004 nimeshindwa kupata ninachokitaka kwa uhakika hivyo nimeona nipate msaada toka kwa wadau.

Asanteni kwa maasa wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…