Heshima mbele wakuu, baada ya kufanya biashara zangu kwa muda mrefu kama sole proprietor, sasa ninafikiria kusajili bashara zangu as a limited company.
1. Nisubiri hadi mtoto wangu afikishe miaka 18 ndio nikasajili as a limited company kwa kumpa hisa kadhaa?.
2. Au naweza kumuandikisha kama mmoja kati ya wanahisa wa kampuni ilihali hajafikisha miaka kumi na nane?