Msaada wa kisheria please!!!

Msaada wa kisheria please!!!

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Wanajf naomba mnishauri kisheria jamani!Mimi ni mwajiriwa katika halmashauri nimeona matangazo ya kazi katika chuo kikuu cha umma ni taratibu gani za kisheria ninapaswa kuzifuata kabla ya kuomba kazi?Kwa sababu huku halmashauri niko serikalini na kule chuoni ni serikalini pia.Naomba ushauri wenu.
 
Back
Top Bottom