MONSI WENGA
Member
- Aug 7, 2011
- 51
- 34
x, alifungua kesi ya kuvunja ndoa mahakamani kwa madai ya kupigwa, na mahakama baada ya kusikiliza pande zote mbili ikaona kuwa mdai ameshindwa kuthibitisha dai lake, hivyo ndoa haikuvunjwa, baada ya miezi saba mdai akafungua tena akidai ndoa ivunjwe, mdaiwa akasema kuwa hii kesi ilishasikilizwa na mdai alishindwa, hivyo mahakama iitupilie mbali hiyo kesi......, je katika mazingira haya tutafanyaje.......