makosa yote ya kitrafic fain 30'000/= lakini ukienda mahakamani unaweza kutozwa faini kifungo au vyote kwa pamoja
Mazingira ya kutenda kosa eg kukimbia baada yakusimamishwa na trafic, kutoa lugha chafu baada ya kutenda kosa etc
Hii kesi iliishia wapi? https://www.jamiiforums.com/celebri...im-kibonde-wa-clouds-fm-atiwa-nguvuni-10.htmlMazingira ya kutenda kosa eg kukimbia baada yakusimamishwa na trafic, kutoa lugha chafu baada ya kutenda kosa etc
Asante SANA mkuu; Hajakimbia, ila kasomewa mashtaka na anakabiliwa na mashtaka mawili i.e Dangerous Driving & Causing Injuries through Dangerous Driving.
Ni fine tsh 30,000 kwa kila kosa, but utetezi wako waweza kukuokoa pia + hakimu in binadamu Kama wewe anaweza vuta cha juu akakuachia nanda tu mahakamani usiogope!
Asante sana mkuu; Utetezi upi utakaohitajika hapo ili uokoe jahazi?
Kukana kosa an kumwachia vhicle inspector to prove beyond resonable doubt umefanya Hilo kosa
Google Tanzania road traffic Act cap 168 Or.E 2002 itakuezea vizury
Ndio makosa yote ya barabarani fine ni tshs 30,000/- ukisomewa makosa kumi inakuwa x10