Negative 1
Senior Member
- Aug 26, 2013
- 133
- 4
Wanajf nisaidien, katika sheria ya ndoa mke na mume ni kitu kimoja, je nichukue hatua gani ninapokwamishwa kuhama kumfuata mke wangu alipo? Au sheria kiutumishi inatambua mke atamfuata mume tu? Nimekosa majibu jaman nisaidieni wanajf.