N Negative 1 Senior Member Joined Aug 26, 2013 Posts 133 Reaction score 4 Sep 1, 2013 #1 Wanajf nisaidien, katika sheria ya ndoa mke na mume ni kitu kimoja, je nichukue hatua gani ninapokwamishwa kuhama kumfuata mke wangu alipo? Au sheria kiutumishi inatambua mke atamfuata mume tu? Nimekosa majibu jaman nisaidieni wanajf.
Wanajf nisaidien, katika sheria ya ndoa mke na mume ni kitu kimoja, je nichukue hatua gani ninapokwamishwa kuhama kumfuata mke wangu alipo? Au sheria kiutumishi inatambua mke atamfuata mume tu? Nimekosa majibu jaman nisaidieni wanajf.