Annalito
Member
- Sep 2, 2018
- 44
- 12
Ninaomba msaada wenu wakuu. Kwenye makaburi ya kinondoni alipokua amelazwa marehemu mama yangu kuna kaburi la mtu mwingine na limejengelewa haswa. Nini nifanye nipate haki ya sehemu ya mama yangu? Mama yangu alifariki mwaka 2001 na hatujakuta hata msalaba. Na huyo waliyemzika amezikwa 2021.