LISSA MAGIGE
Member
- Mar 18, 2013
- 5
- 0
Ninaitaji msaada wa kisheria tafadhali je endapo umeishi na mwanaume kwa mda wa miezi 8 pasipo kufunga ndoa na katika kuishi kwenu kuwepo na haadi za kufunga ndoa hapo baadae lakini ikatoea mwanamke anashika ujauzito kabla ya ndoa kufungwa na alipomweleza mwenzake kwamba ni mjamzito mwanaume alipozipokea izo habari alimtoroka mwanamke mpaka leo hii hajarudi nyumbani je sheria hapo inamsidiaje mdada huyu tafadhali