LISSA MAGIGE
Member
- Mar 18, 2013
- 5
- 0
sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kifungu cha 69 kinatoa haki ya kushitaki na kudai fidia kwa ukiukwaji ahadi ya kuoana.......hata hivyo kifungu cha 70 kinataka dai hilo lisiletwe mahakamani mwaka mmoja na zaidi baada ya ahadi ya ndoa kuvunjwa.....hivyo basi kama mwaka mmoja umepita na kama mna mtoto unachotakiwa kudai ni malezi ya mtoto ......kwa maelezo zaid ni PMNinaitaji msaada wa kisheria tafadhali je endapo umeishi na mwanaume kwa mda wa miezi 8 pasipo kufunga ndoa na katika kuishi kwenu kuwepo na haadi za kufunga ndoa hapo baadae lakini ikatoea mwanamke anashika ujauzito kabla ya ndoa kufungwa na alipomweleza mwenzake kwamba ni mjamzito mwanaume alipozipokea izo habari alimtoroka mwanamke mpaka leo hii hajarudi nyumbani je sheria hapo inamsidiaje mdada huyu tafadhali