Msaada wa kisheria tafadhali

Msaada wa kisheria tafadhali

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Naomba msaada:
Mdai akipata ruhusa ya mahakama baada ya certification of point of law, ni muda gani (time limit) anapewa kisheria ili alodge appeal.Sasa ni mwaka tangu mdai huyo apewe leave to appeal na certificate of point of law, mpaka sasa amenyamaza tu.
 
Anakata rufaa kutoka Mahakama ipi kwenda ipi?
 
Petro hebu uwe serious kidogo, cerficate on a point of law inatolewa na mahakama kuu kwenda court of Appeal kwa kesi zilizoanzia primary court

Asante, Petro ananipa mashaka kama kweli ni mwanasheria. Lakini anaweza kuwa na jibu. Nitashukuru. Nimeangalia Court of appeal rules sijaona kipengele kinachoongelea time limitation after leave and certificate have been granted
 
Kuchelewa mwaka mmoja si hoja,suala hapa je,kama ameomba,amepata certified copies of exhibits, proceedings,Judgements na Decree.Kama amevipata,je,certificate of delay amepewa?If none of the above,nothing will bar him/her to lodge an appeal as soon as the mentioned obtained.
 
Asante. Lakini mpaka leo hajawahi kuviomba. Baada ya kupata leave of the court na certificate of point of law, inabidi awe ameomba ndani ya muda gani
 
Kama kuna notice of appeal,bila shaka iliambatana na barua ya kuomba.Barua ndani ya siku 14 na notice ni siku 30
 
Asante sana ndugu. Baada ya kupata leave of the court na certificate, hakuna kitu zaidi kwenye file! Amenyamaza tu. Nifanyeje nataka kesi hii iishe
 
Back
Top Bottom