CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Naomba msaada:
Mdai akipata ruhusa ya mahakama baada ya certification of point of law, ni muda gani (time limit) anapewa kisheria ili alodge appeal.Sasa ni mwaka tangu mdai huyo apewe leave to appeal na certificate of point of law, mpaka sasa amenyamaza tu.
Anakata rufaa kutoka Mahakama ipi kwenda ipi?
Anakata rufaa kutoka Mahakama ipi kwenda ipi?
Petro hebu uwe serious kidogo, cerficate on a point of law inatolewa na mahakama kuu kwenda court of Appeal kwa kesi zilizoanzia primary court
Kuchelewa mwaka mmoja si hoja,suala hapa je,kama ameomba,amepata certified copies of exhibits, proceedings,Judgements na Decree.Kama amevipata,je,certificate of delay amepewa?If none of the above,nothing will bar him/her to lodge an appeal as soon as the mentioned obtained.
Asante. Lakini mpaka leo hajawahi kuviomba. Baada ya kupata leave of the court na certificate of point of law, inabidi awe ameomba ndani ya muda gani
Kama kuna notice of appeal,bila shaka iliambatana na barua ya kuomba.Barua ndani ya siku 14 na notice ni siku 30