muraa ni shilingi ngapi? na amekaa rokapu a.k.a lock up siku ngapi? Na umejuaje kwamba hawana ushahidi au kielelezo unacho wewe umekificha? haujui kuwa kuna aina nyingi za ushahidi ukiwepo ushahidi wa kimazingira(circumstantial evidence) ambao nao waweza kukubalika mahakamani?