Msaada wa kisheria tafadhari

Teamanaconda

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
602
Reaction score
564
Natumaini humu jukwaani nitapata ushauri nini cha kufanya,

Sisi baba yetu alifariki dunia mwaka jana mwezi wa nne,sasa kwenye bank ya NMB walituambia baada ya kufuatilia mirathi mahakamani mje tena kuna hela ya pole huwa inatolewa na benk kama mteja amefariki tena wakasema ni sh 600,000.

Sasa tumeshamaliza mirathi mahakamani tayari huko mahakamani tulikuwa tunafuatilia hela nyingne sio hii ya NMB bank,tumerudi NMB bank wanasema ile hela ya pole kwa mteja aliefariki imeshaisha muda wake eti muda wake ni ndani ya miezi sita tu kwa hyo tumechelewa,wakati kwenye barua waliyotupa hakuna sehemu inayosema hiyo hela ina mwisho wa kuchukua.

Naomba kwa anaejua hii mambo anisaidie nifanyeje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…