Msaada wa kisheria taradhari

Aureus Ndimbo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
211
Reaction score
95
Wajuzi wa mabo sheria naomba msaada wenu katika hili.Nilikuwa katika mwahusiano na mwanamke mmoja hivi tangia 2012, mwaka 2013 nikapeleka posa na mahari kwa wazazi wake na mwaka huo huo tulibahatika kupata mtoto wa kiume,mwaka 2016 tulifunga ndoa ya serikali na kufikia 2018 mwaka Jana tulianza kuingia kwny migogoro na tuliwahusisha wazazi pande zote mbili lkn hatukufanikiwa kulisuluhisha kufikia mwez wa 12 mwaka Jana.Mi nipo mbali kidogo na yeye kikazi ilipofika mwez wa kwanza 2019 nilikamua kuja kazini,na mke wangu tukiwa tunawasiliana Mara moja moja Tena mwenzagu kwa kunidharau sn.Mwez wa 12 ktk mipango yetu juu ya mtoto shuleni tulikubaliana mwaka huu mwezi wa tano 2019 tumpeleke shuleni,lkn Cha ajabu mtoto amempeleka shulen mwez feb na hajaniambia,na nimesikia kule shuleni hajamsajili kwa jina lake mtoto lenye ubini wangu ila amemsajili kwa jina lingine lenye ubini wake.ikumbukwe pia mtoto nilishamtafutia cheti Cha kuzaliwa na bima ya afya.Sasa nataka km kweli anania ya kumbadilisha mtoto jina nizuie mapema nifanyeje? Lkn pia bado sinampa talaka ila yeye kwa upeo wake mdogo anajua ndoa imevunjika.Naombeni ushauri wajuzi wa sheria,mchango wako wa mawazo Ni nuru ktk maisha yangu.naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole huenda Mke huyo ni wa kutoka Kondoa
huenda hamuishi pamoja
na huenda mtoto si wako
basi bila hata talaka hapo humuwezi mmesha achana, bora ungem,,,,ndika wa pila na watatu angetulia
Pole jiweke tayari kuachana km huwezi kumbebesha keshakutana na wajanja huko ulikomtafutia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…