Siyo hypothetical scenario,ila ni uhalisia.Majadiliano yanaonekana kutoenda uzuri.Ndiyo maana nimeleta hapa kupata ushauri nini kifanyike kuondoa dhahama hii!It is OK is this a hypothetical scenario, else itakua ajabu utafute msaada wa kisheria kuhusu mgomba wa ndizi wenye thamani isiozidi TZS 15,000 (about USD 8)
Jamaa wawili wanapakana ambapo mmoja amejenga ukuta kuzunguka makazi yake,na jirani yake ndani ya eneo lake ameotesha migomba kabribu kabisa na mpaka.Mgomba mmojawapo umezaa tunda la ndizi ambayo imening'inia upande wa pili kwa jirani(yaani tunda lote la ndizi liko ndani ya ukuta wa jirani).Ni nani mmiliki wa tunda hilo?Je kuna kosa kisheria limetendeka?
Hapo bwana Mgomba unabaki wa mwenye mgomba sababu umeota ndani ya ardhi ya mwenye mgomba. tatizo litatokea kama hizo ndizi au migomba itadondoka ndani ya uwanja wa jirani na kuleta madhara au kusababisha hasara yoyote. Jirani atakuwa na haki ya kushtaki mahakamani (tortious liability)
lakini pia inashauliwa ni vyema kabla ya kuchukua hatua za kisheria pande mbili wakutane ili kama kunajambo anaweza kulifanya mwenye mali iliyoingilia mali ya mtu mwingine kama kukata au makubaliano mengine bas yafanyike ili kumaliza mgogoro baina yao