The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Wadau kama kichwa cha habari kinavyosema,
Kuna Mzee mmoja jirani yetu kijijini yeye anamiliki tela la kuvutwa na punda,
Juzi juzi hapa hapa katika pilika pilika zake anatoka shambani bahati mbaya Yale mapunda yakaingia barabarani gafla kulikuwa na gari coaster inakuja ikafunga break gafla ikaligonga tela la punda kidogo,
Hakukuwa na traffic aliyepima ila baadae mwenye gari akadai atengenezewe gari yake ilipochunika mwenye punda akakubali,
Tatizo lingine mwenye gari anataka alipwe eti na tairi ambazo anadai alifunga break gafla hivyo kupelekea kulika na kutoka kashata zake.
Je hii ni sahihi?
Kisheria na mwenye gari umekuwa anamwambia jirani yetu atamtia ndani (polisi).