Msaada wa kisheria wa nyumba za kupanga kati ya mpangaji na mwenye nyumba

nyasangaboy

Senior Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
127
Reaction score
58
Habari zenu wakuu.

Nipo msaada wa wenu mwenye nyumba ananiambia nihame pasipo kunipa notice ya kujiandaa kuhama, nichukue hatua gani?
 
Huyo mama anafanya kunikomoa kodi inaisha leo na anataka niame kitu ambacho si haki
 
Huyo mama anafanya kunikomoa kodi inaisha leo na anataka niame kitu ambacho si haki

Good, kwa sababu hela unayo mkononi, mwombe umpe kodi ya mwezi huku ukitafuta chumba uhame.

Tafuta chumba uondoke, usihangaishane naye.
 
Unaonekana wewe ni mkorofi hadi mwenye nyumba anatamani uhame[emoji23] badilika acha kupiga mziki kwa sauti kubwa unawapa kero wenzio.
 
Habari zenu wakuu.

Nipo msaada wa wenu mwenye nyumba ananiambia name pasipo kunipa notice ya kujiandaa kuama, nichukue hatua gani?
tembea na binti yake, tembea naye tena mara ya pili, na tatu , akianza kutema mate hama mchana kweupe uone kama hjakuomba urudi kukaa bure.
 
Unatakiwa kisheria utoe na wewe notisi mwezi mmoja kama unaongeza mkataba. Sasa sijui kama ulimtaarifu?
Kisheria kama nahama ndo natakiwa nimpe taarifa lakini si kama naendelea
 
Kanishtukiza aseee lakin sikuna taaribu kwa sababu hii ni biashara aijiendei tu
 
Unaonekana wewe ni mkorofi hadi mwenye nyumba anatamani uhame[emoji23] badilika acha kupiga mziki kwa sauti kubwa unawapa kero wenzio.
Na aache Yale mapishi ya kumuudhi mama mwenye nyumba ye kila siku makaangizi
 
Habari zenu wakuu.

Nipo msaada wa wenu mwenye nyumba ananiambia name pasipo kunipa notice ya kujiandaa kuama, nichukue hatua gani?
Hutaki kulipa kodi yake? Unataka ukae bure halafu upewe notisi ya kujiandaa miezi 3 subiri utakimbia mwenyewe shauri zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…