Msaada wa kisheria wadau

Msaada wa kisheria wadau

chinatown

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
1,232
Reaction score
1,105
Nime lent nyumba/apart last year kwa bahati mbaya huyu landlord hakuwa na pesa ya kukarabati hii nyumba
hivyo nilimlipa cash kodi ya mwaka mzima about 4.2m mkataba mpaka mwezi wa sita mwaka huu cha ushangaza hata hadhi ya nyumba hikufikia ie hali ambao tulielewana mie niichukulia ubinadamu nikaendelea kukaa.kwani tulikubariana
1.maji yawe ndani hajafana hivyo
2.amalize deni tannesco huanya hivyo so tannesco wamekuwa wakinikata kila ninunuapo umeme hadi deni limkwisha
3.kuweka grill nyuma akufanya
4.kujenga sink hajafanya
cha kusikitisha na kushangaza juzi ananipa notice kuwa ifikapo juni niwe nimehama ktika nyumba yake
msaada wa sheria wandugu
 
wakati unalipa hiyo kodi, uliiona nyumba na kuikubali na ukaamua kuishi hivyohivyo sio? Je upo uthibitisho kuwa ulikubaliana na mwenye nyumba kurekebisha hayo unayoyalalamikia??
 
Mkuu kama unaweza kupanga kwa kiasi hicho cha fedha, basi unaweza kabisa kukidhi gharama za wakili, hata hivyo nitakusaidia kwa uchache kama ifuatavyo. Kwanza, wakati wa makubaliano yenu uliyaweka kwenye maandishi? Una mkataba? May be tuanzie hapo!
 
nadhani sijaeleweka kidogo
Nililipa kodi ili aweze kuibadisha nyumba yaani major renovation
kupitia kwa dalali ambaye ndiyo shahidi yangu kuwa nyumba itakuwa na vitu tajwa hapo juu.lkn hakufanya hivyo
na sasa ananiandikia notice while sijakaa kwnye nyumba tarajiwa yaani ynye hadhi ambayo tulikubalina
means I paid two months before
 
Kamanda uliweka kwenye maandishi? Kupanga nyumba siyo sawa na kununua mkate.
 
Back
Top Bottom