Niliacha kazi kwasababu ya mazingira magumu ya kazi,nlfafanya kazi kwa zaid ya masaa 12 kila cku kwa siku6 za wik na mapumzko ya siku 1 bla makubaliano yeyote na kila nilipodai mkataba ilikuwa ngumu kunipa nlpowasumbua sana nilipewa lkn ukiwa na mapungufu makubwa ikiwemo kukosa maelezo ya sahh ya mshahara wangu na makato yake kama kodi ya serikal na michango mingne kama nssf,ppe nk,ambao sikukubaliana nao huo mkataba na kuhtaj mkataba unaojitosheleza kwa hvyo vitu vyote lkn ckupatiwa mpka nlpoamua kuacha kaz,na niliacha kazi kwa kufata taratibu ambapo tar 30,11,2021 nliwakabidhi vitu vyao na kunambia cku inayofata nikawaandikie barua nlifanya hvyo na wakanipigia muhuri wa kampun na barua og walibak nayo wao na nakala nilichukua mwenyew,lkn toka juz tar 1,12,2021 hawatak kunipa barua ya termination na HR hatak kabsa kuonana nami