Toa taarifa kituo cha police mkuu, chukua RB jamaa akamatwe ahojiwe ikiwezekana atafikishwa mahakamani na ikithibitika atahukumiwa kwa mujibu wa sheria, usipuuzie hata kama ameitoa hiyo kauli kwa hasira tu, anaweza akafanya alichokisema kuwa makini mkuu.
Nakushauri toa taarifa kwa mjumbe, mwenyekiti wa mtaa, polisi na hata sehemu unakoabudia. usipuuzie wewe mwenyewe nadhani utakuwa shahidi kuwa mwaka huu kuna jinamizi la watu kuuwa kisa mali na visasi vingine. ukimaliza kusoma hii comment yangu wahi katoe taarifa haraka na yeye ajue umetoa taarifa.pole sana
Nashukuru ndugu tayar nimetoka taarifa Polisi na tayar wamempigia simu amejidai anaumwa so atakuja kesho polisi kutoa maelezo na Tumekubaliana na Police iwe ivyo maana tunaishi mikoa tofauti na kwakuwa ni mtu mzima pia mwenye investiment zake ni ngumu kutoroka so kesho nitaleta feedback hapa.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Powa broo alafu hilo jina unalotumia ,Chikira, ni kama linatoka kulekule kwetu??Pole sana kwenye maukoo yetu na wana ndugu kuna mengi, kila mmoja akisema aweke yake humu JF utaona hili la kwako lina nafuu
Kwenu ni wapi my ndugu? funguka labda wewe ni ndugu yanguPowa broo alafu hilo jina unalotumia ,Chikira, ni kama linatoka kulekule kwetu??
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums