Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakili anashtakiwa kama mtu mwingine yeyote, isipokuwa kesi yake haiwezi kusikilizwa mahakama ya mwanzo.Naomba msaada wa kufahamu wapi pa kupeleka lalamiko lako na taratibu zake, pale unapoona wakili wako amekukosea kwa kutofuata maadili ya kazi yake.
Nilikuwa na maana kama amekosa kiutendaji kazi, au kulirahisisha swali, nataka kujua kama mwananchi anaweza peleka malalamiko yake Tanganyika law society.Wakili anashtakiwa kama mtu mwingine yeyote, isipokuwa kesi yake haiwezi kusikilizwa mahakama ya mwanzo.
Unaweza kupeleka ila ukitumia njia hiyo linashughulikiwa ki ofisi, ki nidhamu, haiwi kesi ya ki mahakama, ni sawa na kuudhiwa na mwalimu ukashtaki kwa mwalimu mkuu(ukiwa mwanafunzi)Nilikuwa na maana kama amekosa kiutendaji kazi, au kulirahisisha swali, nataka kujua kama mwananchi anaweza peleka malalamiko yake Tanganyika law society.
Nakushukuru kwa msaada wako nimekuelewa.Unaweza kupeleka ila ukitumia njia hiyo linashughulikiwa ki ofisi, ki nidhamu, haiwi kesi ya ki mahakama, ni sawa na kuudhiwa na mwalimu ukashtaki kwa mwalimu mkuu(ukiwa mwanafunzi)