Msaada wa Kisheria

Faridi

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2008
Posts
672
Reaction score
274
Naomba msaada wa kufahamu wapi pa kupeleka lalamiko lako na taratibu zake, pale unapoona wakili wako amekukosea kwa kutofuata maadili ya kazi yake.
 
Wakili anashtakiwa kama mtu mwingine yeyote, isipokuwa kesi yake haiwezi kusikilizwa mahakama ya mwanzo.
 
Nilikuwa na maana kama amekosa kiutendaji kazi, au kulirahisisha swali, nataka kujua kama mwananchi anaweza peleka malalamiko yake Tanganyika law society.
 
Unaweza kupeleka ila ukitumia njia hiyo linashughulikiwa ki ofisi, ki nidhamu, haiwi kesi ya ki mahakama, ni sawa na kuudhiwa na mwalimu ukashtaki kwa mwalimu mkuu(ukiwa mwanafunzi)
 
Nakushukuru kwa msaada wako nimekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…